Tuesday 31 October 2017

MAYAI YA KUKAANGA MAHITAJI ○Mayai ○Hoho nyekundu ○Hoho kijani ○Hoho njano ○Nyanya maji ○Kitunguu maji ○Mafuta kiasi ○Chumvi kiasi JINSI YA KUANDAA 1: gonga mayai kisha tia katika bakuli pana 2: Katia nyanya, kitunguu na hoho rangi zote kisha tia chumvi na changanya vizuri 3: Tia kikaango jikoni weka mafuta kiasi hakikisha yanapata moto kisha tia mayai yako acha hadiuone linaanza kukauka kisha pindua upande wapili ila hakikisha haliungui.



MAYAI YA KUKAANGA
Image may contain: food
MAHITAJI
○Mayai
○Hoho nyekundu
○Hoho kijani
○Hoho njano
○Nyanya maji
○Kitunguu maji 
○Mafuta kiasi
○Chumvi kiasi
JINSI YA KUANDAA
1: gonga mayai kisha tia katika bakuli pana
2: Katia nyanya, kitunguu na hoho rangi zote kisha tia chumvi na changanya vizuri
3: Tia kikaango jikoni weka mafuta kiasi hakikisha yanapata moto kisha tia mayai yako acha hadiuone linaanza kukauka kisha pindua upande wapili ila hakikisha haliungui.

No comments:

Post a Comment

JIFUNZE KUTENGENEZA TAMBI KWA MTINDO WA KIMOROKO

JIFUNZE KUTENGENEZA TAMBI KWA MTINDO WA KIMOROKO TAMBI HIZI NI MAARUFU SANA NCHINI MOROKO, NI RAHISI KUANDAA NA NI TAMU SANA KWA...