Tuesday 28 November 2017

JINSI YA KUPIKA MAYONNAISE KWA HARAKA.

HOMEMADE MAYONNAISE MAHITAJI

HOMEMADE MAYONNAISE

MAHITAJI
1.Yai 1 
2.Maji ya limao 1 
3.vinegar kijiko 1 chakula
4.Mustard 1/2 kijiko cha chai(ukipenda)
5.Chumvi 1/4 kijiko cha chai
6.Mafuta ya kula kikombe 1 (Alizeti au zaituni

MAELEKEZO:
1. Tia mahitaji yote katika blender kwa mpangilio kama nilivoweka katika mahitaji.Acha mchanganyiko ukae kwa muda wa dk 5
2. Baada ya dk 5 saga mahitaji yako hadi yajichanganye, zima blender koroga vizuri kisha saga tena hadi upate Mayonnaise.
3. Mimina katika jar funikia vizuri. Tumia mayonnaise ndani ya siku 4-5 ukiwa umehifadhi katika fridge. Enjoy!
Note:
Unaweza tumia tu bakuli na hand whisk kutengeneza Mayonnaise Kama huna blender.

 1.Yai 1 2.Maji ya limao 1 3.vinegar kijiko 1 chakula 4.Mustard 1/2 kijiko cha chai(ukipenda) 5.Chumvi 1/4 kijiko cha chai 6.Mafuta ya kula kikombe 1 (Alizeti au zaituni MAELEKEZO: 1. Tia mahitaji yote katika blender kwa mpangilio kama nilivoweka katika mahitaji.Acha mchanganyiko ukae kwa muda wa dk 5 2. Baada ya dk 5 saga mahitaji yako hadi yajichanganye, zima blender koroga vizuri kisha saga tena hadi upate Mayonnaise. 3. Mimina katika jar funikia vizuri. Tumia mayonnaise ndani ya siku 4-5 ukiwa umehifadhi katika fridge. Enjoy! Note: Unaweza tumia tu bakuli na hand whisk kutengeneza Mayonnaise Kama huna blender.

No comments:

Post a Comment

JIFUNZE KUTENGENEZA TAMBI KWA MTINDO WA KIMOROKO

JIFUNZE KUTENGENEZA TAMBI KWA MTINDO WA KIMOROKO TAMBI HIZI NI MAARUFU SANA NCHINI MOROKO, NI RAHISI KUANDAA NA NI TAMU SANA KWA...