Friday, 8 June 2018
Jinsi ya kupika Pilau la kuchambuka - Lamb Pulao
Jinsi ya kupika pilau linalochambuka vizuri - pilau ya kondoo au unaweza kutumia nyama yoyote au kuku Mahitaji ▶mchele vikombe 2 ▶nyama ya kondoo nusu kg ▶Maji ya kuwivisha nyama ▶mafuta ya kupikia vjk 3 mpaka 4 ▶kitunguu maji 1 ▶viazi mviringo 2 ▶hoho kiasi ▶carrot 1 ndogo ▶kitunguu saum tangawizi kjk 1 ▶chumvi kiasi ▶curry powder kjk 1 kidogo (si lazima ) ▶majani makavu ya mvuje kiasi (si lazima) ▶Spicy ya pilau kijiko 1 cha kula - unaweza kuona recipe yake hap
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
JIFUNZE KUTENGENEZA TAMBI KWA MTINDO WA KIMOROKO
JIFUNZE KUTENGENEZA TAMBI KWA MTINDO WA KIMOROKO TAMBI HIZI NI MAARUFU SANA NCHINI MOROKO, NI RAHISI KUANDAA NA NI TAMU SANA KWA...
-
JINSI YA KUPIKA CHAPATI LAINI MAANDALIZI/PREPARATION 1.Kwanza hakikisha unakanda unga vizuri Make sure you knead the dough very well...
-
Urojo ni mchanganyiko wa vyakula mbali mbali pamoja na uji uji wake katika bakuli moja. Hapa nitaeleza jinsi ya kuupika huo uji(urojo) m...
-
MAHITAJI/INGREDIENTS 1.Nyama ya kusaga kilo kasorobo(3/4) 3/4 Kg Minced Meat 2.Kitunguu maji kikubwa 1 1 Medium size Onion 3.Ker...
No comments:
Post a Comment