Sunday 10 June 2018

VIDEO: JINSI YA KUPIKA PIZZA -KISWAHILI




Sosi ya pizza Mahitaji Mkebe mmoja wa nyanya 280z/794 gms Nyanya za kawaida mbichi kiasi gram 800 Vitunguu thom kiasi chem 4/5 Mafuta ya halizeti vinjiko 2 vikubwa Sukari kijiko 1 kikubwa au zaidi Chumvi kijiko 1 kidogo Pilipili mannga 1/2 kijiko kidogo majani ya zaatari/saatari makavu na mabichi kama utapenda Kwa Unga wa pizza Unga wa ngano vikombe 3 1/2 Maji ya vuguvugu kikombe 1 Sukari vijiko 2 vikubwa Chumvi kijiko 1 kidogo Hamira vijiko 2 1/2 vidogo ( gms 7) Mafuta ya halizeti vijiko 2 vikubwa OKA PIZZA MARA YA KWANZA MOTO 400F/260C kwa dakika 5 , halafu endeles kwa dakika 7/8

No comments:

Post a Comment

JIFUNZE KUTENGENEZA TAMBI KWA MTINDO WA KIMOROKO

JIFUNZE KUTENGENEZA TAMBI KWA MTINDO WA KIMOROKO TAMBI HIZI NI MAARUFU SANA NCHINI MOROKO, NI RAHISI KUANDAA NA NI TAMU SANA KWA...