JUICE YA ROZELLA MAHITAJI Maua ya rozella JINSI YA KUTENGENEZA 1. chemsha maji glass kubwa 12 mpaka yachemke 2. yatoe kwenye moto weka chini 3. weka majani mekundu kiganja kimoja na nusu cha mkono 4. kaa dakika 20 5. chuja 6. weka kwenye glass 7. weka sukari/asali kijiko cha chai kimoja kama unatumia sukari/asali 8. tayari kwa kunywa angalia yale makapi uliyochuja kama bado yana wekundu, chemsha tena maji glass 6 uweke hayo makapi.
MAHITAJI
Maua ya rozella
JINSI YA KUTENGENEZA
1. chemsha maji glass kubwa 12 mpaka yachemke 2. yatoe kwenye moto weka chini 3. weka majani mekundu kiganja kimoja na nusu cha mkono 4. kaa dakika 20 5. chuja 6. weka kwenye glass 7. weka sukari/asali kijiko cha chai kimoja kama unatumia sukari/asali 8. tayari kwa kunywa angalia yale makapi uliyochuja kama bado yana wekundu, chemsha tena maji glass 6 uweke hayo makapi.