Monday 9 July 2018

MBATATA ZA CREAM

Image may contain: food

MAHITAJI

Mbatata
Nyanya
Kiting
Carrot
Magie
Cream
Chumvi
Curry
Pilipili
JINSI YA KUANDAA NA KUPIKA
1. Menya mbatata,vitunguu na carrot osha kisha weka tayari kwa kuanza kupika
2. Tia mafuta kwenye sufuria kisha kaanga vitunguu kiasi.
3.Tia viazi kisha endelea kukaanza kwa dakika 15 hadi 20 ongeza curry na endelea kukaanga
4. Kisha Tia nyanya na endelea kukaanga hadi nyanya ziive make sure nyanya haziungui,kisha Tia maji yakutosha kuivisha viazi .
5.Baada ya viazi kuiva waweza tia magie chumvi,Filipino na cream kisha acha kwa dakika tanto.baada ya hapo mbatata zako zitakua tayari lea kuliwa.

No comments:

Post a Comment

JIFUNZE KUTENGENEZA TAMBI KWA MTINDO WA KIMOROKO

JIFUNZE KUTENGENEZA TAMBI KWA MTINDO WA KIMOROKO TAMBI HIZI NI MAARUFU SANA NCHINI MOROKO, NI RAHISI KUANDAA NA NI TAMU SANA KWA...