SAMAKI WA KUKAANGA
MAHITAJI
samaki 1 Kitunguu thaum 1/2 tsp Tangawizi mbichi 1/2 tsp
Pilipili manga 1/2 tsp Chumvi kiasi Ndim 1 Pilipili mbuzi kiasi Bizari ya njano 1/2 tsp
Mafuta ya kupikia
MATAYARISHO
Msafishe samaki halafu mueke alama kama za kumkata pande zote mbili,
Mueke pembeni.Changanya viungo vyote kwenye kibakuli.
Halafu tia kwenye samaki hakikisha kaingia kila pahali hasa zile sehemu uloweka alama na ndani ya kichwa.
Akisha kukolea vizuri muweke pembeni kwa nusu saa. Halafu mkaange kwa mafuta.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
JIFUNZE KUTENGENEZA TAMBI KWA MTINDO WA KIMOROKO
JIFUNZE KUTENGENEZA TAMBI KWA MTINDO WA KIMOROKO TAMBI HIZI NI MAARUFU SANA NCHINI MOROKO, NI RAHISI KUANDAA NA NI TAMU SANA KWA...

-
Futari ya Mihogo na Viaz Vitamu Kila kitu unapokifanya kwa mfululizo kwa muda mrefu kinachosha. Hata kupika nako kunachosha,i...
-
Urojo ni mchanganyiko wa vyakula mbali mbali pamoja na uji uji wake katika bakuli moja. Hapa nitaeleza jinsi ya kuupika huo uji(urojo) m...
-
JIFUNZE KUTENGENEZA TAMBI KWA MTINDO WA KIMOROKO TAMBI HIZI NI MAARUFU SANA NCHINI MOROKO, NI RAHISI KUANDAA NA NI TAMU SANA KWA...
No comments:
Post a Comment