Saturday, 9 June 2018
Jinsi Ya Kupika Biriyani Nzuri Ya Nyama
Meat Biriyani Masala 11/2 kg Nyama (you can use Lamb, mutton, beef or goat) cut into serving sized pieces 250ml to 300ml mtindi 2 to 3 fresh nyanya, blended 3 tbsp nyananya ya kopo ya kusaga 1 kg vitungu vya kukaanga, rangi ya brown {usiunguuze, otherwise biriyani masala yako itakuwa nyeusi sana} 5 vianzi, peeled and halved, then fried until a knife can pierce through easily 2 tablespoons juisi ya limao 1 tablespoon tangawizi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
JIFUNZE KUTENGENEZA TAMBI KWA MTINDO WA KIMOROKO
JIFUNZE KUTENGENEZA TAMBI KWA MTINDO WA KIMOROKO TAMBI HIZI NI MAARUFU SANA NCHINI MOROKO, NI RAHISI KUANDAA NA NI TAMU SANA KWA...

-
Futari ya Mihogo na Viaz Vitamu Kila kitu unapokifanya kwa mfululizo kwa muda mrefu kinachosha. Hata kupika nako kunachosha,i...
-
Urojo ni mchanganyiko wa vyakula mbali mbali pamoja na uji uji wake katika bakuli moja. Hapa nitaeleza jinsi ya kuupika huo uji(urojo) m...
-
MAHITAJI/INGREDIENTS 1.Kuku 1 1 Whole Chicken 2.Mafuta lita 1 1 Litre Cooking Oil 3.Tangawizi iliotwangwa(kusagwa) vijiko vikub...
No comments:
Post a Comment