Kinywaji:Strawberry shake
VIPIMO
Ndizi 2 (wastani)
Stroberi (strawberries) Vikombe vya chai 2
Vipande vya barafu Kikombe cha chai 1
Maziwa Kikombe cha chai ¾ − 1
Juisi ya machungwa Kikombe cha chai 1
Asali Vijiko vya supu 2
NAMNA YA KUTAYARISHA
1. Kata kata ndizi na stroberi na uweke kwenye mashine (blender) pamoja na vipimo vyote vilivyobaki.
2. Saga mchanganyiko wako hadi ulainike vizuri.
3. Mimina kwenye gilasi na itakuwa tayari kwa kunywewa.
ENJOY 🙂

No comments:
Post a Comment