Saturday, 28 October 2017

CHICKEN FILAT


MAHITAJI
Stake ya kukuU1kg
Uyoga wa unga1upawa
Uyoga source 1upawa
Magie kidonge 2
Pilipili
Chumvi
Mafuta
Kotmir
KUPIKA
Tia mafuta kisha kuku wako ongeza viungo ,kisha kkaanga hadi kuku awe na rangi brown
Kisha toa nakaanga viungo vingene vyote halafu tia kuku wacko na supu ya uyoga na acha Michelle kwa dakika kadhaa.

No comments:

Post a Comment

JIFUNZE KUTENGENEZA TAMBI KWA MTINDO WA KIMOROKO

JIFUNZE KUTENGENEZA TAMBI KWA MTINDO WA KIMOROKO TAMBI HIZI NI MAARUFU SANA NCHINI MOROKO, NI RAHISI KUANDAA NA NI TAMU SANA KWA...