Thursday, 19 October 2017
DATE MILKSHAKE/MILKSHAKE YA TENDE
MAHITAJI/INGREDIENTS
1.Tende 20 20 Dates
2.Maziwa Glasi 1 na nusu
1 and 1/2 Glass of Milk
3.Karanga zilosagwa robo kikombe Quater Cup of Crushed Ground nuts
4.Arki Pine Apple robo kifuniko cha chupa yake Pine Apple Essence 1/2 Cap(Caps of Pine Apple Essence Bottle)
5.Maji Ya Uvugu uvugu Kikombe Kidogo 1/2 1/2 Small Cup of Warm Water
MAANDALIZI/PREPARATIONS
1.Toa kokwa(Mbegu) kwenye tende upate nyama ya tende tu Remove the hard pit from dates chop them coarsely
2.Weka kwenye jagi la blenda nyama za tende Add them to the jug of blender
3.Mimina maji kwenye blenda acha tende ziroane kwa dakika zipatazo 10 Pour a cup of water into the blender's jug let the dates be soaked for atleast 10 minutes 4.Weka maziwa kwenye friza hadi yafanye chenga chenga Refrigerate milk until frozen
JINSI YA KUTENGEZA/HOW TO MAKE
1.Saga Tende zako taratibu mpaka zisagike vizuri Blend the soaked dates well till you gets smooth puree
2.Mimina karanga kwenye jagi Add crushed ground nuts into the jug
3.Mimina maziwa kwenye jagi lenye tende Pour the frozen milk into the jug having date
4.Malizia kuweka arki And finally add pine apple essence
5.Saga Mchanganyiko wako taratibu mpaka usagike vizuri Blend the mixture well till gets smooth puree
6.Ikichanganyika vizuri mimina kwenye glasi tayari kwa kunywa When blended well pour into the glass ready to serve
7.Unaweza kuinywa yenyewe au na kitafunio chochote upendacho You can serve it with any bite you prefer or drink as it is.
Angalizo:Note 1.Usiache maziwa yakaganda hadi kuwa barafu ngumu yakifanya chenga tu inatosha kabisa Do not let the milk frozen complete ,remove in the freezer once started to form the ice 2.Hakikisha unaondoa kokwa(mbegu) za tende vizuri Make sure you remove carefully the hard pit in the dates Furahia Milk Shake Yako.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
JIFUNZE KUTENGENEZA TAMBI KWA MTINDO WA KIMOROKO
JIFUNZE KUTENGENEZA TAMBI KWA MTINDO WA KIMOROKO TAMBI HIZI NI MAARUFU SANA NCHINI MOROKO, NI RAHISI KUANDAA NA NI TAMU SANA KWA...
-
Futari ya Mihogo na Viaz Vitamu Kila kitu unapokifanya kwa mfululizo kwa muda mrefu kinachosha. Hata kupika nako kunachosha,i...
-
MAHITAJI/INGREDIENTS Visheti 1.Unga wa Ngano ¼ Kg ¼ Kg Plain Purpose Flour 2.Maziwa ya maji Kikombe Kidogo 1 1 Small Cup...
-
JIFUNZE KUTENGENEZA TAMBI KWA MTINDO WA KIMOROKO TAMBI HIZI NI MAARUFU SANA NCHINI MOROKO, NI RAHISI KUANDAA NA NI TAMU SANA KWA...
No comments:
Post a Comment