Saturday, 28 October 2017

JIFUNZE KUTENGENEZA VILEJA VYA TANGAWIZI

Image result for VILEJA VYA TANGAWIZI
MAHITAJI.
NGANO VIKOMBE 2
TANGAWIZI YA UNGA VIJIKO 2 1/4 VYA CHAI
HILIKI 1/2 KIJIKO CHAI
KARAFUU 1/2KIJIKO CHAI
YAI 1
ASALI 2 KIJIKO CHAI
NUTMEG 1/2KIJIKO CHAI
SIAGI 7VIJIKO CHAKULA
SUKARI GURU 3/4 Vikombe
SUKARI BROWN 1/4 KIKOMBE
VANILA 1/2KIJIKO CHAI
BACKINGSODA 1 1/2 KIJIKO CHAI
CHUMVI 1 1/2 KIJIKO CHAI

Related image

KUANDAA NA KUBACK
KATIKA BAKULI TIA UNGA,MDALASINI,KARAFUU , TANGAWIZI NACHUMVI ,BACKINGSODA CHANGANYA VIZURI
CHUKUA BAKULI LINGINE TIA SIAGI NA SUKARI SAGA VIZURI KWA KUTUMIA MASH INE YA KEKI ILI IWE KAMA CREAM, KISHA ONGEZA ASALI,YAI NA VANILLA CHANGANYA TENA KWA DAKIKA 1HADI 2 TIA MCHANGANYIKO WAKO WA UNGA KIDOGO KIDO KATIKA CREAM ,CHANGANYA VIZURI HAKIKISHA ISIWE NA MABONGE.
CHUKUA ZIP LOCK BAG MIMINA MCHANGANYIKO WAKO KISHA WEKA KWENYE FRIJI KWA MASAA 2 AU WAWEZA WEKA USIKU MZIMA.
TAYARI KWA KUBACK WASHA OVEN 350f CHUKUA SUKARI GURU TIA KATIKA BAKULI KISHA CHOKA MCHANGA NYIKO WAKO KWAKIJIKO TIA KATIKA BAKULI LA SUKARI NA FANYA VIMIDUARA, KISHA BACK KWA DAKIKA 12HADI 12
BAADA YA HAPO VILEJA VYAKO VIKO TAYARI KULIWA ILA NIVYEMA UACHE VIPOE.
Image may contain: food

No comments:

Post a Comment

JIFUNZE KUTENGENEZA TAMBI KWA MTINDO WA KIMOROKO

JIFUNZE KUTENGENEZA TAMBI KWA MTINDO WA KIMOROKO TAMBI HIZI NI MAARUFU SANA NCHINI MOROKO, NI RAHISI KUANDAA NA NI TAMU SANA KWA...