Friday 27 October 2017

KASHATA ZA MAZIWA YA UNGA (English&Swahili)


MAHITAJI
Maziwa ya unga kikombe 1 na nusu
Sukari kikombe 1 na robo
Maji kikombe 1 na nusu
Arki ya vanilla kijiko 1 cha kula
Rangi ya chakula kjk 1 cha kul(orange)
Mafuta ya kupikia vjk 2 vya kula
MATAYARISHO
  1. Kwenye sufuria au pan tia maji na sukari , wacha ichemke
  2. Ikianza kutoa mapovu mazito ( dakika 8 hadi 10) tia rangi , arki na mafuta ya kupikia , koroga kg wacha ichemke tena
  3. Subiria tena kwa dakika 3 mpaka 5 au iwe nzito ukiigusa kwa vidole viwili ukiwachia ifanye kama uzi au mfano wa gundi
PhotoGrid_1506518941308
  1. Tia maziwa ya unga koroga haraka haraka kwa dkk 1 au mpaka mchanganyiko uwe mzito
  1. Pakaza mafuta sehem yako ya kukatia au trey , weka mchanganyiko wako, tumia mwiko,kijiko au kifimbo kuwekea sawa,  wacha upoe na ukate shape unayopenda

No comments:

Post a Comment

JIFUNZE KUTENGENEZA TAMBI KWA MTINDO WA KIMOROKO

JIFUNZE KUTENGENEZA TAMBI KWA MTINDO WA KIMOROKO TAMBI HIZI NI MAARUFU SANA NCHINI MOROKO, NI RAHISI KUANDAA NA NI TAMU SANA KWA...