Wednesday 29 November 2017

KUKU WA KUKAANGA NA SIAGI


MAHITJI
Steki ya kuku 1/4
Royco mchuz mix 1 kijiko cha mchuzi
Ngano 1 kijiko cha mchuzi
Maggie vidonge 3
Siagi kijiko 1 cha chakula
Ndimu 1
Chumvi kiasi
JINSI YA KUANDAA NA KUPIKA
1 : Osha kuku kisha kata saizi utakayo..mkaushe maji .
2 : Mtie magie,royco,chumvi, ndimu na ngano kisha mwache kwa dakika tano viungo vikolee.
3: Ongeza royco na ngano kisha changanya tena vizuri.
4 : Tia kikaango au sufuria jikoni tia siagi hadi iyeyuke na kuchemka kisha tia kuku wako na anza kukaanga kwa kwa kugeuza geuza hadi aive na kuleta rangi nzuri baada ya hapo kuku wako atakua tayari
Unaweza kumla kwa ugali, chips nk...

No comments:

Post a Comment

JIFUNZE KUTENGENEZA TAMBI KWA MTINDO WA KIMOROKO

JIFUNZE KUTENGENEZA TAMBI KWA MTINDO WA KIMOROKO TAMBI HIZI NI MAARUFU SANA NCHINI MOROKO, NI RAHISI KUANDAA NA NI TAMU SANA KWA...