Wednesday 29 November 2017

JUICE YA MATIKITI NA LIMAO

JUICE YA MATIKITI NA LIMAO
MAHITAJI 
5 kg ya Watermelon
180gram juice ya limao 
80 gram ya asali mbichi
1 fungu majani ya Mint
vipande vya barafu au Ice Cubes, 
MATAYARISHO
Muda wa maandalizi : dakika 15
Muda wa mapishi : dakika 15
Idadi ya wanywaji : Watu 4 
Kiwango cha limao kinaweza kua gram 120 hadi gram 240 hii hutegemea na kiwango cha sukari katika tikiti maji au 
kata watermelon katika vipande vidogo, menya ngozi na kumbuka kutoa mbegu.

Chukua vipande vya watermelon saga pamoja na juice ya limao

Kisha ichuje katika chujio safi baada ya kuisaga

Kisha weka ice cube pamoja na majani ya mint katika jagi.

Kisha mimina juice katika jagi lako lenye barafu na mint

Kisha mimina asali mbichi kwenye mchanganyiko wa juisi na ukoroge ichanganyike.

Kisha mpatie mnywaji ikiwa ya baridi weka ice cubes na majani ya mint kwa kupambia.

Huu ni muonekano safi kabisa baada ya kupamba kwa jani la mint na kuongeza ice cubes ili mnywaji afurahie kinywaji baridi

KINYWAJI HIKI NI SAFI SANA NA KINONGEZA HAMU YA KULA WAAANDALIE FAMILIA WABURUDIKE


MAHITAJI 

5 kg ya Watermelon 180gram juice ya limao  80 gram ya asali mbichi 1 fungu majani ya Mint vipande vya barafu au Ice Cubes, 

MATAYARISHO


 Muda wa maandalizi : dakika 15 Muda wa mapishi : dakika 15 Idadi ya wanywaji : Watu 4 Kiwango cha limao kinaweza kua gram 120 hadi gram 240 hii hutegemea na kiwango cha sukari katika tikiti maji au kata watermelon katika vipande vidogo, menya ngozi na kumbuka kutoa mbegu. Chukua vipande vya watermelon saga pamoja na juice ya limao Kisha ichuje katika chujio safi baada ya kuisaga Kisha weka ice cube pamoja na majani ya mint katika jagi. Kisha mimina juice katika jagi lako lenye barafu na mint Kisha mimina asali mbichi kwenye mchanganyiko wa juisi na ukoroge ichanganyike. Kisha mpatie mnywaji ikiwa ya baridi weka ice cubes na majani ya mint kwa kupambia. Huu ni muonekano safi kabisa baada ya kupamba kwa jani la mint na kuongeza ice cubes ili mnywaji afurahie kinywaji baridi KINYWAJI HIKI NI SAFI SANA NA KINONGEZA HAMU YA KULA WAAANDALIE FAMILIA WABURUDIKE

No comments:

Post a Comment

JIFUNZE KUTENGENEZA TAMBI KWA MTINDO WA KIMOROKO

JIFUNZE KUTENGENEZA TAMBI KWA MTINDO WA KIMOROKO TAMBI HIZI NI MAARUFU SANA NCHINI MOROKO, NI RAHISI KUANDAA NA NI TAMU SANA KWA...