Tuesday 28 November 2017

JINSI YA JUICE YA ROZELLA

JUICE YA ROZELLA

MAHITAJI
Maua ya rozella

JINSI YA KUTENGENEZA

1. chemsha maji glass kubwa 12 mpaka yachemke
2. yatoe kwenye moto weka chini
3. weka majani mekundu kiganja kimoja na nusu cha mkono
4. kaa dakika 20
5. chuja
6. weka kwenye glass 
7. weka sukari/asali kijiko cha chai kimoja kama unatumia sukari/asali
8. tayari kwa kunywa

angalia yale makapi uliyochuja kama bado yana wekundu, chemsha tena maji glass 6 uweke hayo makapi.



 MAHITAJI 

Maua ya rozella 


JINSI YA KUTENGENEZA 


1. chemsha maji glass kubwa 12 mpaka yachemke 2. yatoe kwenye moto weka chini 3. weka majani mekundu kiganja kimoja na nusu cha mkono 4. kaa dakika 20 5. chuja 6. weka kwenye glass 7. weka sukari/asali kijiko cha chai kimoja kama unatumia sukari/asali 8. tayari kwa kunywa angalia yale makapi uliyochuja kama bado yana wekundu, chemsha tena maji glass 6 uweke hayo makapi.

No comments:

Post a Comment

JIFUNZE KUTENGENEZA TAMBI KWA MTINDO WA KIMOROKO

JIFUNZE KUTENGENEZA TAMBI KWA MTINDO WA KIMOROKO TAMBI HIZI NI MAARUFU SANA NCHINI MOROKO, NI RAHISI KUANDAA NA NI TAMU SANA KWA...