Thursday 30 November 2017

JUICE YA UKWAJU/ TAMARIND JUICE

JUICE YA UKWAJU/ TAMARIND JUICE
MATAYARISHO
1.andaa maji kwenye dishi na uoshe kidogo tuu 
2.baada ya kuuosha chukua ukwaju wako weka kwenye sufuria yenye maji ya saizi na injika jikoni 
3.uache uchemke hasa hata kwa dakika 10/15 ili uuwe vijidudu 
4.ipua ukwaju wako jikoni na uache kwa muda upoe 
5.andaa maji yako masafi na chujio ili uweze kuchuja juice yako kwa uangalifu zaidi ili upate juice yenyewe.
6.weka sukari kwa kiasi unachopendelea 
pia ili kupunguza ukali unaweza ukaweka hiliki/vanila au ndimu ili kupata taste 
7.weka juice yako kwenye fridge ili ipoe tayari kwa kunywa.

 MATAYARISHO

 1.andaa maji kwenye dishi na uoshe kidogo tuu  2.baada ya kuuosha chukua ukwaju wako weka kwenye sufuria yenye maji ya saizi na injika jikoni  3.uache uchemke hasa hata kwa dakika 10/15 ili uuwe vijidudu  4.ipua ukwaju wako jikoni na uache kwa muda upoe  5.andaa maji yako masafi na chujio ili uweze kuchuja juice yako kwa uangalifu zaidi ili upate juice yenyewe. 6.weka sukari kwa kiasi unachopendelea  pia ili kupunguza ukali unaweza ukaweka hiliki/vanila au ndimu ili kupata taste  7.weka juice yako kwenye fridge ili ipoe tayari kwa kunywa.

No comments:

Post a Comment

JIFUNZE KUTENGENEZA TAMBI KWA MTINDO WA KIMOROKO

JIFUNZE KUTENGENEZA TAMBI KWA MTINDO WA KIMOROKO TAMBI HIZI NI MAARUFU SANA NCHINI MOROKO, NI RAHISI KUANDAA NA NI TAMU SANA KWA...