Thursday 30 November 2017

JUICE YA PAPAI/ PAPAYA JUICE

JUICE YA PAPAI/ PAPAYA JUICE
MAHITAJI
1)480 gram papai lililoiva ( sawa na papai moja lililoiva)
2)240 gram sukari
3) juisi ya limao au ndimu kijiko kikubwa cha chakula ( swa na malimao au ndimu 2 - 3)
4)480 gram maji safi ya baridi

Jinsi ya kuandaa

Menya papai kisha tumia kijiko kuondoa mbegu na utando wa juu unaoshikilia hizo mbegu, kisha kata katika vipande vidogo vidogo.

Kisha chukua papai, sukari, juisi ya limao au ndimu na maji saga katika blender pamoja na kisha weka katika friji ipoe.
Ongeza vipande vya chocolate au pilipili manga kwa ajili ya taste kama inavyo onekana juice yetu.

MAHITAJI 

1)480 gram papai lililoiva ( sawa na papai moja lililoiva) 2)240 gram sukari 3) juisi ya limao au ndimu kijiko kikubwa cha chakula ( swa na malimao au ndimu 2 - 3) 4)480 gram maji safi ya baridi Jinsi ya kuandaa Menya papai kisha tumia kijiko kuondoa mbegu na utando wa juu unaoshikilia hizo mbegu, kisha kata katika vipande vidogo vidogo. Kisha chukua papai, sukari, juisi ya limao au ndimu na maji saga katika blender pamoja na kisha weka katika friji ipoe. Ongeza vipande vya chocolate au pilipili manga kwa ajili ya taste kama inavyo onekana juice yetu.

No comments:

Post a Comment

JIFUNZE KUTENGENEZA TAMBI KWA MTINDO WA KIMOROKO

JIFUNZE KUTENGENEZA TAMBI KWA MTINDO WA KIMOROKO TAMBI HIZI NI MAARUFU SANA NCHINI MOROKO, NI RAHISI KUANDAA NA NI TAMU SANA KWA...