Wednesday 27 December 2017

JINSI YA KUPIKA KABABU ZA MAYAI.

Leo utajifunza jinsi ya kupika kababu za mayai ambazo waweza kula muda wowote asubuhi ama jioni.

inapendeza ukisindikiza na kinywaji chochote baridi aidha juice ama maji ya kunywa.

MAHITAJI.

Mayai 7

Chenga za Mkate

nyama ya kusaga robo kilo.

Tangawizi nusu kijiko.

Mafuta ya kupikia nusu lita.

Mkate

Chumvi kiasi.

Plilipili manga.

JINSI YA KUPIKA KABABU ZA MAYAI.


No comments:

Post a Comment

JIFUNZE KUTENGENEZA TAMBI KWA MTINDO WA KIMOROKO

JIFUNZE KUTENGENEZA TAMBI KWA MTINDO WA KIMOROKO TAMBI HIZI NI MAARUFU SANA NCHINI MOROKO, NI RAHISI KUANDAA NA NI TAMU SANA KWA...