Monday 16 July 2018

FAHAMU UTENGENEZAJI HUU WA MKATE


Image may contain: food
MAHITAJI
°Ngano vikombe 4
°Maji ya vugu vugu 1 1/2 kikombe
°Mafuta ya zaituni viko 2 vya chakula
°Hamira ya unga kijiko 1 cha chakula
°Chumvi 1 1/2 kijiko cha chai
°Sukari nyeupe viko 2 vya chai
JINSI YA KUANDAA NA KU BAKE
1 : Tia unga kidogo katika bakuli pana, tia hamira, sukari kisha koroga iwe kama cream, acha kwa dakika 10.
2 :Baada ya hatua hiyo chukua mchanga nyiko wako tia Chumvi, mafuta kisha ongeza unga ulio bakia endelea kuuponda hadi uwe lain. Kisha funika kwa kitambaa safi, weka sehemu ya joto ill uweze kufura acha kwa takriban saa 1.
3 : Tizama unga wako iwapo upo tayari kata vidonge 10 hadi 16 kisha tengeneza vimiduara au dizain uipendayo, weka katika chombo cha bati tayari kwa kubake.
4: Wacha oven kwa degree 400 F.na 200 C bake kwa dakika 18 hadi 20 hadiuone inaleta rangi ya brown kisha toa tayari kwa kuliwa.

No comments:

Post a Comment

JIFUNZE KUTENGENEZA TAMBI KWA MTINDO WA KIMOROKO

JIFUNZE KUTENGENEZA TAMBI KWA MTINDO WA KIMOROKO TAMBI HIZI NI MAARUFU SANA NCHINI MOROKO, NI RAHISI KUANDAA NA NI TAMU SANA KWA...