Monday 16 July 2018

MAANDAZI YA KUOKA


Image result for MAANDAZI YA KUOKA
MAHITAJI

°Ngano vikombe 3
°Baking powder 1/4 kijiko cha chai
°Siagi vikiko 2 vya mchuzi
°Vanilla kijiko 1 cha chai
°Hamira ya chenga kijiko 1 chai
°Chumvi 1/4 kijiko chai
°Sukari kijiko cha mchuzi 1 1/4
°Maji ya uvugu vugu kiasi

Image result for MAANDAZI YA KUOKA

KUANDAA NA NA KUOKA
1 :Tia unga katika beseni kisha tia hamira, baking powder,chumvi, sukari, vanilla, na siagi kisha changanya unga wako vizuri.
2 : Baada ya hapo tia maji kidogo kidogo na anza kuponda unga wako ponda kwa dakika 3 ila usiulainishe saana.
3 :Acha Kwa dakika kadhaa kisha kata na achatena kidogo. ..lambisha mafuta katika chopmbo cha bati kisha panga maandazi yako na lambisha mafuta juu ya maandazi na tia katika oven kwa muda mchache maandazi yako yatakua tayari kuliwa.

No comments:

Post a Comment

JIFUNZE KUTENGENEZA TAMBI KWA MTINDO WA KIMOROKO

JIFUNZE KUTENGENEZA TAMBI KWA MTINDO WA KIMOROKO TAMBI HIZI NI MAARUFU SANA NCHINI MOROKO, NI RAHISI KUANDAA NA NI TAMU SANA KWA...