Sunday 15 July 2018

HOW TO BAKE CAKE

No automatic alt text available.
MARITAL
°Ngano 1/2
°Siagi kopo 1
°Maziwa 1/2 lita
°Sukari 1/4
°Mayai 8
°Baking powder
JINSI YA KUA NDAA NA KUBAKE
1 :C hukua kibesen kidogo cha plastiki, tia Sukari kidogo, baking powder, Ngano kidogo na maziwa kidogo kisha anza kukoroga kwa kutumia mwiko ili Sukari Ichanganyike.
Endelea kufanya hivyo kwa kuongeza kila ulichotia mwanzo.ongeza Siagi pia kisha weka Mayai yote. Hakikisha unga unakua mzito kuzidi wa kalimati.
Onja kwa kusikiliza Sukari kama ipo sawa. .
2 : Baada ya hatua hiyo washa oven weka digrii 200 kuanzia ikipata moto tia cake yako ambayo iko kwenye chombo cha bati.
3 : Ukiona inaanza kubadilika rangi punguza moto na uwe 150 hapo iache iive kwa moto mdogo mdogo. Kwani cake huhitaji uivaji wa taratibu
Tizama kama iko tayari itoe na acha ipoe kisha weka katika sahani .
Pia unaweza kutumia uandaaji huu katika uchanganyaji iwapo hauna Brenda. ...na katika kubake iwapo hauna oven waweza bake kwa moto wakawaida. ...palilia moto juu na chini ila moto mdogo mdogo.
No automatic alt text available.

No comments:

Post a Comment

JIFUNZE KUTENGENEZA TAMBI KWA MTINDO WA KIMOROKO

JIFUNZE KUTENGENEZA TAMBI KWA MTINDO WA KIMOROKO TAMBI HIZI NI MAARUFU SANA NCHINI MOROKO, NI RAHISI KUANDAA NA NI TAMU SANA KWA...