Saturday, 18 August 2018

DATE MILKSHAKE/MILKSHAKE YA TENDE



 MAHITAJI/INGREDIENTS


 1.Tende 20  20 Dates
2.Maziwa Glasi 1 na nusu  

1 and 1/2 Glass of Milk

 3.Karanga zilosagwa robo kikombe  Quater Cup of  Crushed Ground nuts

 4.Arki Pine Apple robo kifuniko cha chupa yake  Pine Apple Essence 1/2 Cap(Caps of Pine Apple Essence Bottle)

 5.Maji Ya Uvugu uvugu Kikombe Kidogo 1/2 1/2 Small Cup of Warm Water

 MAANDALIZI/PREPARATIONS


 1.Toa kokwa(Mbegu) kwenye tende upate nyama ya tende tu Remove the hard pit from dates chop them coarsely


 2.Weka kwenye jagi la blenda nyama za tende  Add them to the jug of blender 

3.Mimina maji kwenye blenda acha tende ziroane kwa dakika zipatazo 10  Pour a cup of water into the blender's jug let the dates be soaked for atleast 10 minutes 4.Weka maziwa kwenye friza hadi yafanye chenga chenga Refrigerate milk until frozen 

JINSI YA KUTENGEZA/HOW TO MAKE

 1.Saga Tende zako taratibu mpaka zisagike vizuri  Blend the soaked dates well till you gets smooth puree 

2.Mimina karanga kwenye jagi  Add crushed ground nuts into the jug

 3.Mimina maziwa kwenye jagi lenye tende  Pour the frozen milk into the jug having date

 4.Malizia kuweka arki  And finally add pine apple essence

 5.Saga Mchanganyiko wako taratibu mpaka usagike vizuri  Blend the mixture well till gets smooth puree 


6.Ikichanganyika vizuri mimina kwenye glasi tayari kwa kunywa  When blended well pour into the glass ready to serve

 7.Unaweza kuinywa yenyewe au na kitafunio chochote upendacho  You can serve it with any bite you prefer or drink as it is.

 Angalizo:Note 1.Usiache maziwa yakaganda hadi kuwa barafu ngumu yakifanya chenga tu inatosha kabisa  Do not let the milk frozen complete ,remove in the freezer once started to form the ice 2.Hakikisha unaondoa kokwa(mbegu) za tende vizuri  Make sure you remove carefully the hard pit in the dates Furahia Milk Shake Yako.

No comments:

Post a Comment

JIFUNZE KUTENGENEZA TAMBI KWA MTINDO WA KIMOROKO

JIFUNZE KUTENGENEZA TAMBI KWA MTINDO WA KIMOROKO TAMBI HIZI NI MAARUFU SANA NCHINI MOROKO, NI RAHISI KUANDAA NA NI TAMU SANA KWA...