Maandalizi; dakika 15
Muda wa kupika; dakika 15
Muda jumla; dakika 30
Muda wa kupika; dakika 15
Muda jumla; dakika 30
Mahitaji
Kuku 1 mkubwa
Vijiko 6 vya chakula unga wa ngano
Kijiko 1 cha chakula curry powder
Vijiko 1½ vya chai tangawizi ya unga
Vijiko 2 vya chakula chicken bouillon powder
½ kijiko cha chai pilipili manga
Chumvi kwa kuonja
Mafuta ya kukaangia
Vijiko 6 vya chakula unga wa ngano
Kijiko 1 cha chakula curry powder
Vijiko 1½ vya chai tangawizi ya unga
Vijiko 2 vya chakula chicken bouillon powder
½ kijiko cha chai pilipili manga
Chumvi kwa kuonja
Mafuta ya kukaangia
Maelekezo
Osha, katakata na kuchanja kuku kisha umpake chumvi
Kwenye sahani pana, weka unga wa ngano, curry powder, chicken bouillon
powder, tangawizi ya unga na pilipili manga, changanya vizuri
Paka vipande vya kuku mchanganyiko wa viungo, ishike vizuri kabisa
Kwenye kikaangio katika moto wa wastani (ongeza na kupunguza moto
ikibidi) chemsha mafuta. Yakichemka, weka kuku kwenye mafuta, hakikisha
hujazi sana kikaangio, acha waive kwa nafasi. Endapo kikaangio ni
kidogo, pika kidogokidogo
Kaanga kuku kila upande mpaka awe na rangi ya kahawia au aive vizuri kabisa
Hamishia kwenye wire rack, chujio la bati au karatasi za jikoni ili mafuta yachuje
Pakua kama utakavyopenda
Enjoy
Samahani, huyo kuku ukumchemsha kwanza
ReplyDelete